Home / Career Tips / 🔔 Udahili wa Mwaka 2026/2027 Unafunguliwa Hivi Karibuni! | NACTE CAS Tanzania
Career Tips

🔔 Udahili wa Mwaka 2026/2027 Unafunguliwa Hivi Karibuni! | NACTE CAS Tanzania

Career Tips 📅 May 14, 2026 ✍️ Sasa Apply Team

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTE) linatangaza kwamba Mfumo Mkuu wa Udahili (CAS) utafunguliwa rasmi tarehe 28 Mei 2026 kwa mwaka wa masomo 2026/2027.

Hii ni fursa kwa wanafunzi wote wanaotaka kujiunga na vyuo vya TVET Tanzania mwaka huu. Jiandae mapema ili usikose nafasi yako!


📋 TAARIFA MUHIMU

Tarehe ya Ufunguzi: 28 Mei 2026 Mwaka wa Masomo: 2026 / 2027 Hali ya Sasa: Mfumo umefungwa kwa sasa Tovuti Rasmi: tvetims.nacte.go.tz


✅ HATUA ZA KUFUATA BAADA YA KUFUNGUA

  1. Tembelea tovuti rasmi: tvetims.nacte.go.tz
  2. Bonyeza “Login” au “Apply” kuanza maombi yako
  3. Jaza fomu yako kikamilifu na kwa usahihi
  4. Angalia majibu yako kupitia mfumo huo huo

⚠️ KUMBUKA

Mfumo kwa sasa umefungwa. Utafunguliwa tarehe 28/05/2026. Usitume maombi yoyote kabla ya tarehe hiyo — subiri hadi mfumo ufunguliwe rasmi.


📲 FUATA HABARI ZA UDAHILI

Usikose taarifa yoyote kuhusu udahili Tanzania. Fuata channel yetu ya WhatsApp kwa habari za haraka:

👉 Jiunge na Channel yetu Whasapp


🆘 UNAHITAJI MSAADA WA MAOMBI?

Je, unahitaji msaada wa kujaza fomu au mchakato wa udahili? Timu ya SasaApply iko tayari kukusaidia!

📞 Wasiliana nasi WhatsApp 🌐 Tembelea: sasaapply.com


⚠️ DISCLAIMER

SasaApply (sasaapply.com) si tovuti ya serikali wala si sehemu ya NACTE au mfumo wowote wa serikali wa Tanzania. Taarifa zilizopo hapa zimetolewa kwa madhumuni ya elimu na habari tu, zikitokana na tovuti rasmi ya NACTE (tvetims.nacte.go.tz). SasaApply haihusiani rasmi na NACTE, Wizara ya Elimu, au taasisi yoyote ya serikali. Kwa taarifa rasmi na za uhakika, daima tembelea tovuti rasmi: tvetims.nacte.go.tz.


Taarifa hii imetolewa na SasaApply. Kwa habari zaidi za udahili Tanzania, tembelea: sasaapply.com

💬 Have a Question or Comment?

Contact us directly on WhatsApp — we reply fast!