Home / Jobs / 🇴🇲 Fursa 1000 za Ajira Oman 2026 kwa Watanzania (Royal Court) Aprili 2026
Royal Court

🇴🇲 Fursa 1000 za Ajira Oman 2026 kwa Watanzania (Royal Court) Aprili 2026

Contract 📍 🇴🇲 Oman ⏰ Deadline: 21 Aprili 2026 📅 Posted: Apr 18, 2026 🔒 Applications Closed
🏢
Company
Royal Court
📍
Location
🇴🇲 Oman
💰
Salary
TZS 3,500,000
Deadline
21 Aprili 2026

Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano kwa kushirikiana na wakala binafsi wa ajira, imetangaza nafasi 1000 za kazi za wapishi nchini Oman katika taasisi ya Royal Court.

Hii ni fursa nzuri kwa Watanzania wenye uzoefu au elimu ya upishi wanaotafuta ajira nje ya nchi.

📌 Muhtasari wa Kazi

  • Kazi: Wapishi (Cook)
  • Idadi ya Nafasi: 1000
  • Mahali: Oman
  • Mwajiri: Royal Court
  • Aina ya Ajira: Mkataba wa miaka 2 (unaoweza kuongezwa)

🎯 Sifa za Mwombaji

  • Waombaji wanatakiwa kuwa na:
  • Umri kati ya miaka 21 hadi 45
  • Elimu ya upishi (cheti au stashahada)
  • Uzoefu wa kazi ya upishi angalau miaka 2 na kuendelea fani ya Upishi
  • Uwezo wa kuzungumza Kiingereza
  • Maarifa ya Kiarabu ni ziada (sio lazima)
  • Awe na afya njema na nidhamu ya kazi

💰 Maslahi na Mafao

  • Mshahara: Takribani TZS 3,500,000 kwa mwezi
  • Malazi na chakula vinatolewa na mwajiri
  • Gharama za visa na tiketi ya ndege zinalipwa na Mwajiri
  • Huduma za matibabu zitakuwa juu ya muajiri kipindi chote cha ajira

⚠️ Mambo Muhimu ya Kuzingatia

Hakikisha unatumia njia rasmi za kutuma maombi.Epuka matapeli wanaodai fedha bila uthibitisho.

📝 Jinsi ya Kutuma Maombi

Andaa CV (Wasifu binafsi) iliyo kamili

Tuma maombi kupitia barua pepe: haubicompanylimited9@gmail.com

Au wasiliana kupitia simu: +255 745 395 798 / +255 266 570 856

Baada ya hapo, Unapaswa kujisajili kwenye mfumo rasmi wa -:

👉 https://jobs.kazi.go.tz⁠�

📅 Mwisho wa Kutuma Maombi

21 Aprili 2026

🔗 Chanzo cha Tangazo

Tangazo hili limetolewa kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano.

📢 Hitimisho

Kama una sifa zinazotakiwa, hii ni nafasi nzuri ya kufanya kazi nje ya nchi na kuboresha kipato chako. Hakikisha unatuma maombi mapema kabla ya muda kuisha.

🔒

Applications Closed

The application window for this position has ended.

Want to be notified for the next intake or similar jobs? Contact us on WhatsApp or browse open jobs below.